Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF Pro. Ibrahim Haruna Lipumba, ametakiwa kujitokeza na kuvunja ukimya juu ya tukio la uvunjifu wa amani katika mkutano wa Maalim Seif na wana habari. Katika taarifa yao jukwaa la Wahariri ncini TEF limetoa tamko lake hilo leo hii kupitia kwa Mwenyekiti wake Theophil Makunga na kusema
KITUMBO AIBUKA MEYA MPYA MANISPAA YA SHINYANGA, TAZAMA AKIONGOZA KIKAO CHA
KWANZA BARAZA LA WADIWANI
-
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga ,Salum Kitumbo
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mazingira ya kisiasa ndani ya Halmashauri ya Manispaa ya Shinyang...
2 hours ago







0 MAONI YAKO:
Post a Comment