April 26, 2017

Image result for sembe 
Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe, amewataka watanzania kuamka na kupaza sauti zao juu ya bei za bidhaa zinavyopanda hususan unga wa Sembe. Katika ukurasa wake wa Facebook Zitto ameandika  haya mapema leo hii ikiwa Taznzania inaazimisha miaka 53 ya Muungano


Bei ya Unga wa Sembe 1kg TZS 2,300/= ( wastani ). Bei ya Mafuta ya Petroli 1lt TZS 2,060/= ( wastani).
Kwa mara ya kwanza Ugali umekuwa ghali kuliko mafuta ya gari.
Gharama hizi za maisha Kwa wananchi ni kubwa mno, hazistahmiliki na zinaingiza raia wengi kwenye umasikini. Serikali ipo kimya kana kwamba kila kitu kipo sawa.
Wananchi amkeni kupaza sauti

Related Posts:

  •                                      singl… Read More
  • WIZI WA KAZI ZA WASANII KUKOMESHWA Mtendaji kutoka Kampuni ya Global StandardOne (GS1), Andrew Karumuna akionesha moja ya kazi ya Msanii Judith Wambura(Lady Jay Dee) iliyowekewa alama maalum ya kimataifa ya utambuzi na udhibiti wabidhaa kwenye… Read More
  • DIAMOND UYOOOO B B A, JPILI Diamond Msanii wa Bongo Flava Naseeb Abdul, aka Diamond,anayetamba na nyimbo zake za nimpende nani na Mawazo, anatarajia kupiga show katika shughuli ya eviction ya Big Brother inayosemekana itakua ni y… Read More
  • MWANA  YUMBA  YA  MAN  CHEGE   KIDEONI.  NI  BONGE  YA  VEDEO  YENYE  UBORA  WA  HALI  YA  JUU… Read More
  • CYRILL AMFUNGUKIA OMMY DIMPOZ baada ya mkali wa nai nai Ommy Dimpoz kuongea katika radio mbali mbali na kumuua kwa maneneo Cyrill, kwa kusema "cyrill ni msanii ambae hafanyi show kabisa" Cyrill saa hii kafunguka kupitia XXL ya CloudsFm na kusema k… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE