

Rais Magufuli akikagua gwaride la jeshi la Magereza katika sherehe za Miaka 53 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mjini Dodoma

Rais mstaafu J K Kikwete apokewa kwa shangwe kubwa sana Dododma
Leo ikiwa ni siku ya maadhimisho ya miaka 53 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kutengeneza nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sherehe za maadhimisho hayo yanaendelea katika uwanja wa Jamhuri Stadium mkoani Dodoma, Mgeni rasmi katika sherehe hizo ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tazama hapa Live kinachoendelea
0 MAONI YAKO:
Post a Comment