Baada ya malalamiko mengi toka kwa watanzania hasa watumiaji wa mtandao
wa twitter kuwa Diamond ametumia isivyo picha ya mwalimu katika cover la
wimbo wake mpya, mzee madaraka ameibuka na kusihi picha hiyo iondolewe
katika wimbo huo.
Itakumbukwa kuwa Mwalimu hakuwa mtu wa kukaa kimya hasa maovu yanapozidi, alikuwa akikemea.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment