
Mbunge Nape Nnauye anaandika katika ukurasa wake wa Twitter juu ya kile kilichotokea wiki kazaa baada ya kuenguliwa katika nafasi ya iwaziri.
Shukrani kwa wote mlioniunga mkono katika kusimamia haki. Narudi Mtama kuwaeleza wapiga kura wangu UKWELI WOTE. Ni Jmosi hii tar 8/4/17.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment