Ukiwa kama mdau, msanii, mpenzi wa muzki na sanaa kwa jumla, umeguswa na kitendo kilichowapata ndugu zetu cha kutekwa na nkupelekwa kusikojulikana Roma Mkatoliki na Moni,
Wadu wote na wasanii kwa jumla mnaombwa kukutana katika studio za Tongwe Records ili kuweza kujadili na kufikia maamuzi nini cha kufanya juu ya hili tukio na matukio yanayoendelea juu ya wasanii wetu. #tukutanetongwe #FreeRoma
BabuTale

#Repost @babutale with @repostapp
・・・
Baba wa familia kupotea kama kuku na sisi wadau kuishi kupost tu hii sizani kama itatusaidia tuamke sote kwa pamoja saa sita mchana tukutane Tongwe Record tujue mstakabal wa mwenzetu @professorjaytz @efm @cloudsfmtz #freeroma

0 MAONI YAKO:
Post a Comment