OMMY DIMPOZ AMPIGA KIJEMBE KIKALI DIAMOND
Diamond Platnumz ali-tweet kupitia ukurasa wake wa Twitter kuhusu mambo ya mapenzi na mahusiano …
In between, Ommy Dimpoz jumped in… This is too far hilarious … Ha ha ha …
Ni kweli haya yanatokea??!!
Check them tweets hapa…Read More
YANGA WAMPELEKA MKWASA CAIRO KUWAFUATA AL-AHLY
Charles
Boniface Mkwasa kocha msaidizi wa Young Africans mchana wa leo ameondoka
kuelekea jijini Cairo nchini Misri kwenda kushuhudia mchezo wa Fainali
ya (Super Cup) Ms…Read More
ZITTO KABWE AIDUNGUA CCM MCHAKATO WA KATIBA
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe, amewaonya wanaotaka kukwamisha mchakato wa kupata
katiba mpya., kupitia ukurasa wake wa facebook Zitto ameandika
Katiba ni mwafaka wa kitaifa. Kitendo cha C…Read More
KILI MUSIC AWARD 2014 MWALI MKOLENI
Dar es Salaam. Tuzo za Muziki, maarufu ‘Kilimanjaro Music
Award’ zimezinduliwa rasmi jana na zitafikia kilele chake Mei 3 kwenye
ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.
Tuzo hizo zinaratibiwa na Baraza la S…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment