Dunia nzima leo hii anahamia nchini Uingereza pale katika uwanja wa Wimbley kushuhudia mpambano wa ngumi za uzito wa Juu Duniani mpambanjo unaowakutanisha mabingwa Anthony Joshua vs Wladimir Klitschko
Azam FC yachezea 4 Kigali
Na Mwandishi wa Binzuery, KIGALI
AZAM
FC jana imechapwa mabao 4-2 na Rayon Sport ya Rwanda katika mchezo wa
kirafiki kujiandaa na msimu mpya Uwanja wa Amahoro, Kigali.
Mabao
ya Rayon yalifungwa na Pierre Kwizera daki…Read More
Brand New Audio Song: Medy Botion ft Mash Jay - Kanivumilia
Kutoka kwanza Record Moro Town, Producer Vennt Skill ametuletea wimbo mpya wa Super Nyota Medy Botion. Wimbo unaitwa Kanivumilia hapa Medy amemshirikisha Mash Jay na ni mkono wa Vennt Skillz. Download hapa chini
…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment