
Jarida maarufu la Forbe la nchini Marekani, leo hii limetoa Orodha ya wasanii watano wa Hip Hop wenye pesa nyingi kuliko wengine. Kwa mujibu wa jaridia hilo hii ndiyo Orodha iliyotajwa, unajua ni kina nani?? Shuka nayo hapa
5. Drake - $90 M
4. BirdMan - $110 M
3. Dr. Dre - $750 M
2. Jay z - $810 M
1. Diddy - $820 M

0 MAONI YAKO:
Post a Comment