Katibu mkuu wa chama cha Wananchi CUF MaalimSeif Sharif Hamad, amefanya ziara ya kumtembelea Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima DR. Bishop Josephat Gwajima na hii ni sehemu ya taarifa baada ya mazungumzo yao
MAAJABU YA NAY WA MITEGO, AJIPA ZAWADI YA GARI
Jana ilikuwa ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mwanamuziki Ney wa Mitego na
aliamua kufanya sherehe kwa mara ya kwanza kusherehekea siku hiyo kwa
vile huu ndio mwaka wake wa kwanza kuwa na mafanikio katika muziki , Ney
alian…Read More
NANDO: NIPO TAYARI KUMUOA LULU
Mshiriki wa shindano la Big Brother Africa (the chase) 2013, Amir Nando ameweka wazi kuwa hajawai kuwa na uhusiano ya kimapenzi na mwanadada wa filamu, Elizabeth Micheal aka Lulu, lakini anakubali sana.
Akiz…Read More
YALIYOJILI DIVA SELFIE INSTAGRAM PARTY JANA
Ni
usiku wa kuamkia leo ambao ulikua ukihusisha wanafamilia wote wa
instagram walikutana ndani ya Club Bilicanas kwa ajili ya kupiga picha
pamoja zile ishu za selfie ndiyo zilikua zikihusika sana.
Kulikua…Read More
MUME WA FLORA MBASHA ALIA NA MCHUNGAJI GWAJIMA
Na Makongoro Going’
MUME wa mwimba Injili Bongo, Flora Mbasha anayedaiwa kumbaka binti wa
miaka 17 (jina lipo), Emmanuel Mbasha ameibuka mzimamzima na kumtaka
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Uzima na Ufufuo …Read More
NEW AUDIO/ BIO ft MR BLUE - NISEME
Kama unaikumbuka analamika, Bibi, kaniulizia na baadhi ngoma toka kwakE. Anaitwa BIO hapa kamshirikisha MR:BLUE mzigo unaitwa Niseme.
SKILIZA KISHA WAWEZA KU SHARE
…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment