Wakati huo huo pia mahakama hiyo ilitoa hukumu sawia kwa viongozi wengine wawili wa makundi mengine nchini humo.
Washtakiwa wegine 15 nao walipewa adhabu ya gerezani kwa miaka 5 kila mmoja.
Mohamed al-Badie, kiongozi wa Muslim Brotherhood alihukumiwa jela miaka 25 kwa kupatikana kwa makosa ya kusababishs ghasia jijini Cairo mwaka 2013 iliyopelekea mapinduzi nchini humo.
Kundi hilo lilianza maandamano ya kumuunga mkono rais wa zamani Mohammed Morsi.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment