Ujumbe wa viongozi wa Uturuki wakutana na rais Donald Trump kwa muda mfupi
Ujumbe wa viongozi wakuu wanaoongozwa na
jenerali mkuu wa jeshi la Uturuki Hulusi Akar ulikutana na rais wa
Marekani kwa muda mfupi Jumatatu majira ya mchana .
Ujumbe huo ambao unajumuisha Hakan Fidan ambaye ni mkurugenzi mkuu wa idara ya upelelezi Uturuki na msemaji na mshauri mkuu wa rais İbrahim Kalin ulikuwa umeelekea ikulu ya White House kukutana na mshauri mkuu wa idara ya ulinzi Marekani Jenerali H.R.McMaster na kuweza kukutana pia na rais Trump kwa muda mfupi.
Lengo kuu la ziara ya viongozi hao wakuu ni kutayarisha ziara rasmi ya rais Erdoğan atakayotekeleza Mei 15.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment