May 07, 2017

Mwanamuziki wa Gospel Jackson Zinga ameachia wimbo wake mpyha unaitwa Haleluya. Wimbo umefanyika katika studio za Kwanza Records Morogoro chini ya Producer Vennt Skillz

Download hapa

Related Posts:

  • Official VIDEO: Star Boy Wizkid na Mut4y - Manya African star Boy kama anavyofahamika na wengi mwanamuziki Wizkid kutoka nchini Nigeria, ameachia video yake mpya ya wimbo unaitwa Manya akiwa na mwanamuzik Mut4Y . Anakupa muda wa kuitazama hii video hapa hapa . Bofya … Read More
  • Wazanzibar waiomba Fiesta ifike visiwani Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi, Ayoub Mohamed Mahamud ametumia kongamano la Fursa iliyoandaliawa na Clouds Media Group kuomba tamasha kubwa la muziki la Fiesta lifike kisiwani hapo. Hayo yamebainishwa leo na RC Ayoub … Read More
  • Hii Ndiyo penati iliyoipa Yanga goli la 3 Mpira umemalizika katika uwanja wa Taifa. Matokeo ni Yanga wameifunga Mbeya City Magoli  5 kwa Sufuri. Tazama Goli la tatu la Yanga lililofungwa kwa mkwaju wa Penati        &… Read More
  • New Audio: Msaga sumu x Man Red Red Mfalme wa Singeli Tanzania Msaga Sumuj, ametuletea wimbo mpya unaitwa Vyuma vimekaza. Msaga hapa amemshirikisha mwanamuziki Man Red Red    … Read More
  • Official Music Video: Aslay - Hauna   Aslay kwa sasa ndiyo mwanamuziki anayeongoza kwa kuachia nyimbo zake mfululizo. Kila kukicha Aslay anathibitisha kipaji chake kilivyo cha hali ya juu. Eti wengine wanasema aliondoka na daftari la nyimbo wakati kund… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE