Tumekuwekea Video mpya kabisa ya mwanamuziki Aslay wa Yamoto Band. Wimbo unaitwa Muhudumu, tafadhali mtu wangu ingia hapa kuutazama kisha weka maoni yako
Obama aing'oa Burundi
Mshirikishe mwenzako
Image copyrightAFPImage captionMarekani imeiondoa Burundi kutoka kwenye mikataba yake ya kibiashara AGOA iliyowezesha mataifa ya Afrika kuingiza bidhaa zao katika soko la Marekani bila kulipa kodi.
Mare…Read More
Familia zaidi ya 30 Morogoro zakosa makazi
Kaya 30 za kata ya Kilakala manispaa ya Morogoro hazina makazi baada ya nyumba zao kuzingirwa maji kufuatia mvua zilizo nyesha mda mfupi na kusababisha maji kuacha muelekeo baada ya kuziba mifereji ya kuyapitisha kisha kuing…Read More
Butiku "wazanzibar msikubali kurudia uchaguzi"
Taasisi ya mwalimu Nyerere imeitaka tume ya uchaguzi ya Zanzibar ZEC kufanya kazi kwa kuzingatia katiba ya nchi na sheria na sio kutanguliza mbele maslahi binafsi ya kisiasa hatua ambayo inaweza kusababisha machafuko na umwa…Read More
Maafisa wa kituo cha kukusanya taarifa cha TACCEO wakamatwa
Wakili Imelda – Lulu Urio Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa LHRC.
Chanzo:MOE BLOG
Mtandao wa Asasi za Kiraia za Kuangalia chaguzi nchini jana ulipata pigo katika mwendelezo wake wa kukusanya taarifa juu ya mchakato wa…Read More
Alichokiongea DR. Magufuli baada ya kushinda nafasi ya UraiS
Baada ya Rais mteule wa Tanzania, Dr. John Magufuli na Makamu wake Mama Samia Suluhu Hassan kukabidhiwa cheti na Tume ya Uchaguzi NEC, safari ilianza toka Ukumbi wa Diamond Jubilee Upanga mpaka Ofisi za CCM mta…Read More
MRADI WA TAZA MBIONI KUKAMILIKA - KAPINGA
-
📌 Unahusisha ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme kutoka Iringa hadi
Sumbawanga
📌 Kapinga asema Mkoa wa Rukwa kuunganishwa na gridi ya Taifa kupitia mrad...
Chadema kuanza kuwasha moto Jumapili hii
-
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Amani
Golugwa, amesema chake, kitaanza...
The post Chadema kuanza kuwasha moto Jumapili...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment