June 28, 2017


Mtangazaji maarufu sana wa kike Tanzania na Afrika kwa jumla kutoka Clouds Fm Diva the bawse
ameamua kujikita katika nyanja za kibiashara. DJ CHoka alipata nafasi ya kupiga naye Story kuhusu mchongo huwo
Leo nilipata nafasi ya kupiga stori na mtangazaji Diva The Bawse 

Pia nilimuuliza maswali mawili matatu yeye kama yeye swali la kwanza nilimuuliza vipi huna mpango wa mtoto kwa sasa? 


“Actually me and my man we bn busy kutafuta mtoto wetu  . siwez sema yupo keshapatikana its too early for that anything can happen bt Yn mtoto is The major key asa hivi. Ima be completely happy the moment Ima hold him/her in my arms. my life itakuwa completely. at first baby aliposema anataka mtoto i was scared maybe nikiwa na mtoto nae my brand ita shake but .. nikaona beyonce, kelly rowland, solange wana watoto i was like ata kim k ana watoto ts about time. so Im jus ready for that baby now”.

Swali la pili nilimuuliza mbona Uzuri wake sasa hivi unaongezeka nini siri au ni mazoezi.

On uzuri kuongezeka sijui…labda kukua nako. Ima woman not some little gal , ila napenda sana urembo na kuvaa. Im this type of the Diva anaependa sana usafi, uvaaji, urembo n etc”

Kati ya Snapchat, Insta na Twitter ipi inakupa ubusy nayo sana
“on snapchat , insta , twitter …Ima  very busy person when it comes to twitter lol Im in love with tweefam”

Je utaendelea kutangaza kipindi chako hata kama biashara yako itakuingizia mkwanja mrefu
“Naingiza mkwanja mrefu since the moment nimeajiriwa. Im the highest kwenye kulipwa kwa watangazaji wa kike Tanzania , kazi yangu ni kitu napenda. connecting wit people is the only way inanifanya nielewe kuwa kuna watu wame stuck na mapenzi and maisha wanahitaji insipiration, being lifted.courage n love. this is ma life!! yn ni sawa na kumwambia beyonce acha  muziki. i lov my job. 2 hrs on air is the best i ever had”

Biashara yako ni ya kwako peke yako au unashirikiana na mpenzi wako labda kwa ushauri au na yeye katia mkwanja.
“Biashara yangu nafanya peke yangu, Mpz wangu yeye ana mambo yake sijamuhusisha kwenye biashara yangu. labda sone advice tu sometimes namuuliza hajatia mkwanja. sijawah ata muomba senti. Ima female version of a hustler so Im always working i believe in kufanya vitu vyangu mwenyewe. kazi kazi, pesa zangu zangu mapenzi mapenzi yn kwenye maisha yangu kila kitu na nafasi yake.”


0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE