June 28, 2017


 Mwanamuziki Shishi Baby, ameonekana kumchanganya kabisa msanii chipukizi kabisa Man Boy, baada ya msanii huyo kuamua kumuimbia wimbo ulioonesha kabisa Man Boy, amedata kwa mtoto Shishi. 
 Wimbo unaitwa Shishi Baby uliofanywa na Producer Amasha, moja kwa moja unamlenga Mwana dada mwenye mvuto wa kimahaba Tanzania Shilole almaarufu Shishi Baby




Related Posts:

  • PAPA AWASILI UFILIPINO Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani,Mtakatifu Francis, amewasili nchini Ufilipino, nchi yenye Wakatoliki wengi zaidi barani Asia, huku ulinzi mkali ukiwa umeimarishwa. Maelfu ya Wafilipino wamejipanga katika misur… Read More
  • HUU NDIYO MPANGO MPYA WA THT 2015            Imezoeleka Tanzania House of Tallent (THT) imekua ikitoa wasanii peke yake ambao asilimia kubwa ya wasanii wengi wa Bongo Fleva wamepitia kwenye mikono ya Nyum… Read More
  • WATANZANIA WENGI WAFUNGWA HONG KONG Kasisi mmoja raia wa Australia amefichua na kuthibitisha kuwa kuna idadi kubwa ya wafungwa wenye asili ya Afrika katika magereza ya Hong Kong, wengi wao wakiwa ni kutoka Tanzania. Kasisi huyo John Wortherspoon ambaye … Read More
  • MWANA BLOG HOI KWA KIPIGO Mwanablogu Raif Badawi ana majeraha ambayo hayawezi kumruhusu kupewa adhabu nyingine  Saudi Arabia imeahirisha adhabu ya kumchapa viboko mwanablogu Raif Badawi kwa sababu ya afya yake. Mwanablogu huyo ambaye pia ni… Read More
  • MARKEL: TUTAWALINDA WAYAHUDI NA WAISLA,U UJERUMANI Kansela Angela Merkel   Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel ameahidi kuwalinda Wayahudi na Waislamu wanaoishi nchini Ujerumani dhidi ya ubaguzi. Amesema demokrasia ndiyo njia bora ya kupambana na machafuko yanayo… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE