January 15, 2015

           6THT

Imezoeleka Tanzania House of Tallent (THT) imekua ikitoa wasanii peke yake ambao asilimia kubwa ya wasanii wengi wa Bongo Fleva wamepitia kwenye mikono ya Nyumba ya Vipaji.
Mwaka 2015 THT imetimiza miaka 10 tangu kuanzishwa kwake ambapo katika mkakati wake mpya ni kuja kiutofauti na ilivyozoeleka hasa kisanaa.
Wanafunzi ambao wa mwisho kwa mwaka huu ni hawa wanaohitimu sasa ambao January 31 watajumuika na wasanii wengine kwenye sherehe za THT zitakazofanyika Escape One, Mikocheni.
Mpango ambao THT wamekuja nao ni kwenye upande wa mitindo (Fashion) ambao wameanza na Kitenge ambacho kitakuwa na mtindo tofauti na uliozoeleka.



5THT 

4THT 

3THT
Peter Msechu.
2THT
Ditto, Ally Rehmtullah na Peter Msechu.
9THT
Mwanamitindo Ally Rehmtullah na Peter Msechu.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE