
Mshambuliaji
wa Yanga, Mzimbabwe Donald Ngoma aliyeripotiwa kusaini mkataba wa miaka
mitatu Polokwane City ya Afrika Kusini akiwasili Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam usiku huu Ngoma ambaye pia anatakiwa na mahasimu, Simba amepokewa na wanachama wa Yanga, Mzee wa Mpunga na Kaisi
0 MAONI YAKO:
Post a Comment