Rais Magufuli akivunja rasmi kitengo cha Presidential Delivery Bureau,
kilichokuwa kikisimamia mpango wa BRN. Mpango wa BRN umehitimisha kazi zake kwa mujibu wa muda uliopangiwa.Rais Magufuli aagana na wafanyakazi wake.
Nay wa Mitego – Shika adabu Yako (Behind The Scene)
Wimbo wa shika Adabu yako wa Nay wa Mitego ni moja ya nyimbo kubwa sana kwa sasa ndani na nje ya Tanzania. Licha ya BASATA kutoa kauli ya kuufungia wimbo huwo lakini sehemu kubwa ya burudani wimbo huwo unachezwa. K…Read More
Mwanafunzi Wa Kidato Cha Tatu Ajinyonga
Mwanafunzi
wa Kidato cha Tatu katika Shule ya Sekondari Nyanungu Tarafa ya Ingwe
wilayani Tarime mkoani Mara, Charles Chacha (19), amekutwa amejinyonga
chumbani kwake kwa kutumia kamba ya katani.
Diwani
wa kata h…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment