Mtoto wa Mama Side Chege chigunda toka TMK Wanaume, ameachia video ya wimbo wa Najiuliza huku akiwashirikisha wana dada Ray C toka TZ na Sanaipei Tande toka nchini Kenya.Enjoy nao hapa
VIDEO:Povu la Twana Pepeta hili hapa
Band ya African Star's Twanga Pepeta , wanatuletea video ya wimbo mpya kabisa unaitwa Povu. Video hii iliyofanyika chini ya DR. Hanscana ni moja ya video bora kabisa ya muziki nchini Tanzania
…Read More
TANZIA: Kocha Gebo amefariki Dunia
Kocha maarufu mkoani Morogoro na mwalimu wa timu ya Black Viba ya ligi daraja la tatu manispaa ya
Morogoro, Kibwana Ally "Gebo", amefariki dunia. Teacher Gebo amefariki ghafla asubuhi ya leo
baada ya kusumbuliwa na presh…Read More
Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 28.10.2018
Manchester City huenda wakawapiku Tottenham katika kumwinda kiuungo wa kati wa Ajax Frenkie de Jong, 21. (Daily Star Sunday)
Meneja
wa zamani wa Chelsea manager Antonio Conte na kocha wa Juventus Max
Allegri wamet…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment