
Kiungo wa Yanga SC raia wa Zimbabwe Thaban Scala Kamusoko leo hii
ameongeza mkataba wa kuitumikia Yanga SC kwa miaka miwili zaidi.
Machaku

Habari katika kurasa za Magazetini Leo Jumapili ya 11 june 2017
Habari za leo mpenzi msomaji wa ubalozini, Karibu katika kurasa za magazetini leo hii june 11 mwaka 2017. Tumekukusanyia baadhi ya kurasa zilizobeba uzito katika baadhi ya Magazeti ya nchini Tanzania
&n… Read More
Tetesi za Usajili Bongo, zimevuja Aishi Manura atua Simba
MKATABA
wa kipa wa Azam FC, Aishi Salum Manula kusaini Simba umevuja kwenye
mitandao ya kijamii na unaonyesha mlinda mlango huyo amesaini kwa dau la
Sh. Milioni 50 kwa miaka miwili na atakuwa analipwa Milioni 3 k… Read More
Kutoka Kurugenzi ya Mawasilianao Ikulu ya Magogoni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli
atapokea taarifa ya kamati ya pili ya wachumi na wanasheria iliyofanya
uchunguzi madini yaliyo kwenye makontena yenye mchanga wa madini
yaliyo… Read More
Moto waua na kujeruhi
Mtu mmoja (75) amefariki katika ajali ya moto huku wengine wawili
wakiwa wamejeruhiwa vibaya (wote wa familia moja) huko Lumumba Wilaya ya
Nyamagana mkoa… Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment