Jagwa ni kundi maarufu sana la Muziki nchini Tanzania. Lakini kundi hili linaonekana kukosa msaada ndani ya nchi yetu na kufanya mziki w mchiriku kupoteza soko lake japo kuwa mziki huu unaweza kuwa ndiyo nembo yetu ya mziki jalisi wa kitanzania. Jagwa kama hujui huwa wanafanya shoo nyingi sana nje ya Afrika. Hii ni moja ya show yao huko Ughaibuni, Tazama jinsi wazungu walivyodata na shoo ya Jagwa musi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment