Fatma amesema kuwa, Inspekta Mwampondela alimshika mkono na kumvuta kwa nguvu hali iliyomsababishia maumivu makali, hivyo anadai alipwe kiasi cha shilingi "bilioni moja" kwa kosa la kumwingilia mwilini mwake na kumbughudhi kwa kumzuia kufanya kazi yake.
“Aliniambia kuwa, ameagizwa na wakubwa kutoka juu, hivyo namfikisha
mahakamani ili amweleze jaji ni nani aliyemtuma, na mimi sitaki kushikwa
shikwa mwili wangu kwa hiyo naomba anilipe shilingi bilioni moja ili
liwe fundisho kwa wengine”. Amesema Fatma.
Hata hivyo, Fatma ambaye ni mmoja wa mawakili wa Mbunge wa Singida Mashariki alikumbana na kadhia hiyo wakati akiwa katika harakati za kumtetea mteja wake ili aweze kupata dhamana.
Hata hivyo, Fatma ambaye ni mmoja wa mawakili wa Mbunge wa Singida Mashariki alikumbana na kadhia hiyo wakati akiwa katika harakati za kumtetea mteja wake ili aweze kupata dhamana.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment