Baada ya kukaa kimya kwa takliban mwaka mmoja bila kuachia wimbo, mwanamuziki Dayna Nyange ametuletea video ya wimbo wake mpya kabisa unaitwa Chovya. Katika Video hiyo Dayna Nyange pia ameonekana mdogo wa mwanamuziki wa Marekani Drake
MADINI YAIBUKA KAMA NGUZO YA MAENDELEO MOROGORO
-
🔶 Sekta yaongezeka kwa kasi, yajenga miundombinu na kuinua wananchi
Morogoro
Mauzo ya madini ya dhahabu mkoani Morogoro yamefikia Shilingi bilioni 16.51 ...
5 hours ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment