Mambo vp mpenzi wa ubalozini.blogspot. Tunakuletea wimbo mpya kabisa uliowakutanisha wanamuziki Rihanna na Sal Houdini wakikwambia I just. Video ya wimbo huo tumekuwekea hapa chini, fanya ku bofya play kwa ajili ya kuitazama
Luca Neghesti na Nancy Sumari wafunga ndoa
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Baada ya miaka mingi ya uhusiano thabiti na
uliokuwa umetawaliwa na upendo usio kifani, Mwenyekiti Mtendaji wa
Bongo5 Media Group Limited, Luca Neghesti na Miss Tanzania 2005 na Miss
World…Read More
Kuchelewa kwa wimbo wa Diamond na P. Square, sababu zatajwa
Diamond ana kesi kwa mashabiki wake. Ijumaa na Jumamosi hii
wamekuwa wakisubiri kwa hamu video ya wimbo wake aliowashirikisha
P-Square ambayo aliahidi ingetoka juzi Ijumaa, lakini hadi sasa kimya!! Wengi wameonesha kuk…Read More
Abdu Kiba adai wasanii wa WCB wanabebwa na Promo
Abdu Kiba amesema kuwa promotion ndiyo inawabeba wasanii wa lebo ya WCB.
Muimbaji huyo amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM, “Sijafikiria
kuimba na msanii kutoka WCB, kwa sababu sijaona anayeimba type ya muziki
wan…Read More
Pirates Legacy kasino mtandaoni na Jackpot kubwa
-
Ni siku nyingine tena njema na bora Zaidi ya kukufungulia dunia ya
michongo, Leo nakupata...
The post Pirates Legacy kasino mtandaoni na Jackpot kubwa fi...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment