
Mpaka sasa, mchuano mkali unaendelea katika mtandao wa youtube. Video za miamba miwili ya mziki wa Bongo Fleva Diamonda na Alikiba, wameonekana kutoana jasho baaa ya kuzidi kpigania nafasi ya kwanza katika chati ya Youtube. Alikiba alianza kuishika nafasi hiyo baada ya kuachia video ya Seduce ME, lakini baadaye Diamond akapanda katika nafasi hiyo na kumpiku Alikiba. Kwa sasa Imeonekana Kiba amerudi kwenye namba moja
0 MAONI YAKO:
Post a Comment