August 31, 2017


                    
Idris Sultan, na Director of Food and Beverage katika hoteli ya Hyatt, Nicolas Cedro

 Hakuna biashara isiyokuwa na faida ,washahili wanakuambia asubuhi biashara jion mahesabu.
Akiongea na Bongo5, katika uzindzui wa viatu vya msanii Idris Sultan, Director of Food and Beverage katika hoteli ya Hyatt, Nicolas Cedro ametoboa siri ya msanii huyo kupata nafasi katika hoteli hiyo kwa ajili ya uzinduzi wa bidaa yake hiyo.
“Idris ni maarufu sana na anawatu wengi wanamfuatilia kupitia mtandao wa Instragram, baada ya kuona nazindua viatu vyake tukamuita aje hapa kuzindua na kumefanya maongezi naye. Viatu vya Idris vitapatikana pia katika duka ililopa hapa hotelini kwetu,” amesema Nicolas.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE