
Chama cha Wananchi CUF upande wa Maalim Seif Shrif Hamad,Walifika Mahakama kuu kwa lengo la kusikiliza maamuzi ya mombi ya zuio la Shauri namba 479 linalowahusu Wabunge 8 na madiwani 2 wachama hicho dhidi ya mwenyekiti anayetambulika na msajili wa vyama vya siasa Prof. Ibrahim Haruna Lipumba
Naibu mkurugenzi wa Habrai Mh: Maharagande Mbarala amezungumza na wana habari baada ya kutoka mahakamani
Naibu mkurugenzi wa Habrai Mh: Maharagande Mbarala amezungumza na wana habari baada ya kutoka mahakamani
LEO Tarehe 16 August,2017 saa 7 mchana tufike Mahakama Kuu kusikiliza maamuzi ya maombi madogo ya Zuio (Temporary Injunction and Maintenance of Status Quo) katika shauri namba 479 Wabunge 8 na Madwani 2 wa CUF dhidi ya Lipumba na wenzake.
Mjulishe na mwenzio. Hakika ya Dhulma Haijawahi kumuacha Dhwaalimu salama.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment