September 15, 2017

Image may contain: 1 person, sitting 
 Diwani wa Viti Maalumu wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ester Mpwiniza amefariki dunia jioni hii.
 

Kifo chake kimesababishwa na shinikizo la damu ambapo alianguka ghafla akiwa nyumbani kwake na kukimbizwa Hospitali ndipo umauti ulipomkuta

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE