Mbunge wa Nzega Mh. Hussein Bashe, amehoji vitendo vinavyoendelea nchuni juu ya matukio ya kutekwa, kupotea, kutolewa bastola kwa Nape na kupigwa risasi Mbunge Tundu Lissu. Kwa matukio hayo Mh. Bashe amepeleka map[endekezo Bungeni . Bofya hapa chini kujua kilichojili
SERIKALI YASHUSHA NEEMA MKOANI MARA//BIL 5.7 UJENZI WA SHULE YA WASICHANA
NA AMALI
-
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mhe Rais Dkt samia Suluhu Hassan
imetoa kiasi cha shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa shule mbili
mkoani...
1 hour ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment