September 08, 2017

Image result for tume ya haki za binadamu
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora imelitaka jeshi la  polisi nchini, kuharakisha upelelezi wa tukio la kushambuliwa kwa risasi kwa Mbunge na Rais wa Chama cha wanasheria Tanganyika TunduLissu na kuwachukulia hatua wahusika wa tukio hilo

Taarifa kamili hii hapa
                          
                  

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE