Mkurugenzi
Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.
Hassan Abbasi akielezea jambo wakati wa zoezi la kukabidhi Leseni za
machapisho kwa Kampuni ya The Guardian Ltd leo Jijini Dar es Salaam
ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya sheria ya Huduma za
Habari ya mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e). Kushoto ni Mkurugenzi
Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula na kulia ni Mhariri
Mkuu wa The Guardian Ltd Jesse Kwayu. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya
Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On
Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.
Mkurugenzi
Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.
Hassan Abbasi akimkabidhi Leseni za machapisho Mhariri Mkuu wa Kampuni
ya The Guardian Ltd Jesse Kwayu (kulia) ikiwa ni muendelezo wa
utekelezaji wa matakwa ya Sheria ya Huduma za Habari ya Mwaka 2016
kifungu kidogo namba 5(e).Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi anayeshugulikia
Usajili Patrick Kipangula. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe,
Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday,
Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.
Mkurugenzi
Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.
Hassan Abbasi akimkabidhi Leseni za machapisho Meneja wa Sheria na
Uhusiano wa Kampuni ya The Guardian Ltd Bw. Emmanuel Matondo(kulia)
ikiwa ni muendelezo wa utekelezaji wa matakwa ya Sheria ya Huduma za
Habari ya Mwaka 2016 kifungu kidogo namba 5(e). Kushoto ni Mkurugenzi
Msaidizi anayeshugulikia Usajili Patrick Kipangula. Kampuni hiyo
inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The
Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri
na Taifa Letu.
Mkurugenzi
Mkuu wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.
Hassan Abbasi na Meneja wa Sheria na Uhusiano wa Kampuni ya The Guardian
Ltd Bw. Emmanuel Matondo (kulia) wakionyesha Leseni ya machapisho
aliyotolewa kwaa ajili ya gazeti la Nipashe mara baada ya kukabidhiwa
leo Jijini Dar es Salaam.Utoaji wa Leseni unafuatia muitikio wa wamiliki
wa machapisho kuzingatia matakwa ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka
2016 kifunga namba 5(e). Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe,
Nipashe Jumapili, Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday,
Kulikoni, Lete Raha, This Day, Alasiri na Taifa Letu.
Mhariri
Mkuu wa Kampuni ya The Guardian Ltd Bw. Jesse Kwayu na Meneja Sheria na
Uhusiano wa kampuni hiyo Bw. Emmanuel Matondo wakiwa wameshika Leseni
10 za machapisho yanayomilikiwa na The Guarid baada ya kukabidhi wa
Leseni kumi za machapisho yanayomilikiwa na Kampuni hiyo leo Jijini Dar
es Salaam. Kampuni hiyo inamiliki magazeti ya Nipashe, Nipashe Jumapili,
Sema Usikike,The Guardian, The Guardian On Sunday, Kulikoni, Lete Raha,
This Day, Alasiri na Taifa Letu. (Picha na: Idara ya Habari – MAELEZO)
0 MAONI YAKO:
Post a Comment