
Rais wa Jamhuri ya watu wa Kenya Mh. Uhuru Kenyata ameagiza kuboreshwa kwa ulinzi katika Hospitali aliyolazwa mbunge wa Singida Mash. Mh. Tundu Lissu aliyepelekwa nchini humo kwa ajili ya matibabau baada ya kujeruhiwa kwa kupigwa Risasi na watu wasiojulikana
0 MAONI YAKO:
Post a Comment