Pole Chris Brown mwenzako nilichekwa-Ommy Dimpoz
Msanii Omary Nyembo alimaarufu kama Ommy Dimpoz amefunguka na kusema
kuwa watu wa uhamiaji duniani kote huwa hawatambui umaarufu wa mtu pindi
wanapogundua kuna kitu hakijaenda sawa,Ommy Dimpoz amefunguka hay…Read More
Nisha afunguka uhusiano wake na Nay ndani ya Papaso
Msanii wa Filamu nchini, Salma Jabu maarufu Nisha, ameongea mambo mengi kuhusiana na sanaa yake, wasanii na mahusinao yake ya kimapenzi na msanii Nay wa Mitego. Akizungumza na D'Jaro Alungu ndani ya Pap…Read More
Msiba:Kapten John Komba amefariki dunia
Mbunge wa Mbinga Mh: john Komba, amefariki Dunia jioni hii. Taarifa za kifo cheke zimetolewa katika A/C ya Twitter ya CCM na kusambaa katika vyombo mbalimbali .
Kepteni Komba enzi za uha…Read More
Diamond atajwa kuwania tuzo nyinge kubwa Africa
Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za 16 za Vodafone
Ghana Music (Awards), VGMA 2015. Majina ya wasanii watakaowania tuzo
hizo yametajwa kwenye hoteli ya La Palm Royal Beach Hotel jijini Accra,
jana Ijumaa, Februar…Read More
Di Maria ajuta kujiunga na Man United
Mchezaji nyota ambaye pia ni kiungo
wa kati wa Manchester United Angel Di Maria amesema kuwa alifanya makosa
kujiunga na Kilabu ya Manchester United msimu uliopita.
Raia huyo
wa Argentina amejaribu kuingian…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment