Kile kipenzi cha wakina dada barani Afrika kutokea nchini Nigeria Korede Bello, ameachia tena video yake nyingine inaitwa My People. Ana muda hajasikika masikioni mwako wala machono mwako kwa video mpya. Sasa Korede Bello amekuja na hii aliyomshirikisha Lil Kesh
0 MAONI YAKO:
Post a Comment