October 23, 2017

 

Tamasha la Fiesta linavyozidi kunoga katika Miji mbalimbali nchini, huku wasanii wakizidi kupagawisha mashabiki, hii sasa imetokea kwa msanii Aslay baada ya kumpagawisha Mh. Mbunge wa Sumbawanga Mjini Aishi Hilaly na kuamua kupanda jukwaani 


Tazama video hapa chini
                 

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE