Msanii wa Bongo Flava, Ambwene Yessaya au maarufu kama A.Y ni moja kati ya wasanii waliopata mafanikio makubwa sana kwenye soko la mziki nchini Tanzania. A.Y ambaye alianza mziki na bado yupo mpaka leo tangu miaka ya 90 amefanikiwa kuwa na utajiri mkubwa sana kupitia sanaa yake ya muziki, ambapo leo hii tumekuandalia video kuhusu mali anazomiliki, pamoja na utajiri wake aliokuwa nao msanii huyo anayekimbiza Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla.
KILA MWANAUME NILIYEGUSA ALIFILISIKA
-
Sijui nilianza kuichukia nafsi yangu lini, lakini ilianza taratibu.
Mwanaume wa kwanza aliyenipenda kwa dhati alipoteza kazi wiki tatu baada ya
tumeanza m...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment