
Agizo hilo amelitoa leo akiwa ziarani jijini Mbeya wakati akizungumza na vikosi vya ulinzi na usalama ambapo amewaonya wanasiasa kuacha kuuendeleza na waliachie jeshi lifanye kazi yake.
Kuhusu madai yaliyotolewa hivi karibuni na familia ya mbunge huyo kuwa
jeshi hilo halina dhamira ya dhati ya kufanya uchunguzi, IGP Sirro
amesema hana cha kuwajibu kwa kuwa hataki malumbano na familia hiyo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment