November 30, 2017

Image result for diamond na rick ross 

Meneja wa mwanamuziki Diamond Platnumz ndugu Sallam Sk, alfajiri ya leo, ametoa taarifa ya kusitishwa kwa wimbo wa Wka wa Diamond na Rick Ross uliokuwa utoke leo hii. Kupitia ukurasa wa Instagram wa Sallam_SK ameandika taarifa hiyo huku akiwaomba radhi mashabiki na wadau wa muziki nchini waliokuwa wakisubulia kwa hamu kubwa ujio wa wimbo huwo


Image may contain: 1 person, text

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE