
Rais mpya wa Zimbabwe Emmerson
Mnangagwa amelitaja baraza lake la mawaziri akimteua afisa mkuu wa jeshi
kwa wadhfu mkuu katika serikali yake.
Waziri mpya wa fedha ni
Sibusiso Moyo , jenerali aliyetangaza katika runinga ya taifa hilo wiki
mbili zilizopita kwamba jeshi limechukua udhibiti.Mkuu wa jeshi la angani Perence Shiri ataongoza wizara ya fedha na kilimo.
Kiongozi mmoja wa upinzani Tendai Biti amesema kuwa fungate iliokuwa ikisherehekewa Zimbabwe imeisha kabla ya kuanza.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment