
Msanii wa Bongo Flava, Diamond Platnumz amesema kuwa kolabo yake na rapper Rick Ross itatoka Desemba Mosi mwaka huu.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na ngoma ‘Hallelujah’
amesema hayo katika mahojiano na kituo cha redio cha The Beat Jijini
Londo, Uingereza.Pia ameongeza kuwa ngoma hiyo itapatikana kwenye album
yake ‘A Boy From Tandale’ ambayo Pia album yake ‘A Boy From Tandale’ itakuwa available kwa pre-order
tarehe hiyo hiyo, Amesema album ina nyimbo 18 na kuna collabo ya Davido,
Omarion, Rick Ross na wengine
0 MAONI YAKO:
Post a Comment