Msanii wa muziki Bongo M2 The P ametangaza kurudi kivingine katika game pamoja na Mirror na Jodan.
“Kwa hiyo soon watu wakae mkao wa kula kazi zinakuja na vizuri zaidi nipo pale kwa Mr. T Touch nina ngoma nyingi sana na Mr. T” M2 The P ameiambia Bongo5.
“Wapo wadogo zangu, unajua tatizo usimamizi wa kazi, unajua kama usimamizi wa kazi unayumba na wewe lazima uyumbe, walikuwa chini ya usimamizi wa Endless Fame hapa katika kukatokea matatizo lakini kuna ngoma tayari washafanya pamoja na video kwa hiyo watu wangoje” ameongeza.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment