
Tamasha la Tigo Fiesta 2017 ndilo linaloendelea kila kona ya Tanzania na linazidi kuchukua sura mpya katika miji linapopita. Baada ya kutokea miji ya Tanga na Moshi, sasa tamasha hilo limetia timu na kuwaburudisha wakazi wa Mji wa Dodoma. Ilikuwa ni bonge la show lililopigwa toka kwa wasanii mbalili huku likishuhudiwa na maelfu ya wakazi wa Dodoma.hizi ni baadhi ya picha zilizopatikana katika tamasha hilo.

King Kiba aliondoka na Mji

Zaiid anakwambia wowo

Ben Pol msanii anayeiwakilisha Dodoma alipanda na Ebitoke

Maelfu ya wakazi wa Dodoma wakishuhudia Fiesta

Weusi kwa Stage
0 MAONI YAKO:
Post a Comment