Mbunge Arusha Mjini Godbless Lema, amezungumza mengi mazito katika mkutano wa kumnadi Mgombea wa Udiwani wa marudio katika kata ya Muriet. Mh.Lema amesema hayo jana katika mkutano wa Kampeni iliyoanza hivi karibuni katika kata mbalimbali nchini.
BRAND NEW SONG// 13- YOUNG KILLER ft FID Q & BELLE 9
Wimbo mpya kabisa kutoka Young Killer Msodoki akishirikiana na mkongwe wa hip hop Fid Q pamoja na Belle 9. Wimbo huu umewashirikisha producer wanne yaani P Funk Majani kutoka Bongo Records, Palla Midundo, Amiga Tyga …Read More
NAY WA MITEGO// PATO LAKE LA FIESTA APELEKA KWA YATIMA
Hapa Nay akiwa na Mlezi wa kituo hicho
Katika hali isiyo ya kawaida kwa wasanii wa hapa Tanzania, ni wachache sana wenye moyo kama huo wa Nay wamitego.
Msanii Nay wa mitego ametoa asilimia kumi ya pa…Read More
BRAND NEW SONG// ANGEL BENARD - SHUJAA
Huu ni wimbo wa pili kutoka album mpya NEW DAY kutoka kwa Angel Benard - wimbo unaitwa SHUJAA.
SHUJAA.
Kuna wakati katika maisha tunakutana na mambo magumu na hakuna wa kukutia moyo, kwa sababu wengi waliotuz…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment