November 21, 2017

Image result for Sauti Sol feat Patoranking - Melanin 
Kutoka Jamhuri ya watu wa Kenya ni kundi linalofanya vema sana katika ulimwengu wa muziki Barani Afrika kwa sasa kundi la Sauti Sol wanatuletea video ya wimbo wao mpya kabisa unaitwa  Melanin hapa wakiwa na mwanamuziki kutoka Nigeria Patoranking

               

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE