Ni kweli Nyashinski ameanza kulewa umaarufu? Hiko ndio kitu
kinachoonekana kwa msanii huyo kutoka kwa mashabiki na wadau wa muziki
wa nchini Kenya.
Tuhuma hizo zimeibuka kupitia gazeti maarufu nchini Kenya baada ya
msanii huyo kudaiwa kutaka kulipwa kiasi cha shilingi milioni moja za
Kenya ambazo ni sawa na milioni 20 za Kitanzania kautika kila interview
atakayoalikwa.
“Alisema anataka tumlipe ndio aje kwenye show. Asipochunga ata-fade haraka. Nasikia amekuwa akiifanya hata studio fulani hivyo. Kwani yeye ni nani?,” limeandika gazeti hilo wakati wakimnukuu mmoja ya waaandishi ambao walikataliwa na Nyashinski kufanya mahojiano.
Nyashinski amedaiwa kuwa alikataa kufanya mahojiano hayo na kipindi
kikubwa nchini humo cha runinga ambacho kinaruka kila siku za Ijumaa
usiku.
Wakati huo huo Bongo5 imemtafuta mmoja ya waandishi kutoka nchini humo amethibitisha kuwa hiyo ndio tabia mpya ya msanii huyo na ameanza kuwavimbia mpaka wasanii wenzake kwa kuwakatalia kufanya nao kolabo.
“Alisema anataka tumlipe ndio aje kwenye show. Asipochunga ata-fade haraka. Nasikia amekuwa akiifanya hata studio fulani hivyo. Kwani yeye ni nani?,” limeandika gazeti hilo wakati wakimnukuu mmoja ya waaandishi ambao walikataliwa na Nyashinski kufanya mahojiano.
Wakati huo huo Bongo5 imemtafuta mmoja ya waandishi kutoka nchini humo amethibitisha kuwa hiyo ndio tabia mpya ya msanii huyo na ameanza kuwavimbia mpaka wasanii wenzake kwa kuwakatalia kufanya nao kolabo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment