Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria anayejulikana kwa jina la Simi, ameachia Video ya wimbo wake mpya unaitwa Owambe. Simi ni mwanamuziki aliyejibebea umaarufu sana kwa sasa hasa alipotoa wimbo wake wa Love Don't Care
Rama Dee aipigia magoti Clouds, aomba msamaha kwa yaliyotokea
Mwanamuziki wa R and B Tanznaia Rama Dee, amewaomba Radhi mashabiki wa Clouds Fm na Clouds Media kwa pamoja kwa yale yaliyotokea kipindi cha nyuma. Kupitia kipindi cha XXL cha Clouds Fm akiitambulisha wibo wa…Read More
MWAMBUSI: Yanga sasa basi napumzika kwanza
Kocha msaidizi wa timu ya YANGA JUMA MWAMBUSI ameamua kuachana na timu hiyo baada ya mkataba wake wa miaka miwili kumalizika.
MWAMBUSI ameiambia mkazuzu.com
amechukua uamuzi huo akiwa na lengo la kupumzika kwa msimu mmoj…Read More
Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa
-
Je unajua kuwa unaweza kumaliza Wikendi yako kirahisi sana ukiwa na
Meridianbet kwani ODDS...
The post Tandika jamvi lako na Meridianbet hapa first app...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment