December 07, 2017

Video for MwanaFA Featuring Maua Sama - Hata Sielewi

Wanamuziki Mwana Fa na Maua Sama , leo hii wanakutana tena kwa mara ya pili katika wimbo huu mpya wa Mwana FA unaitwa  Hata Sielewi. Sauti hizi kwa mara ya kwanza zilikutana katika wimbo wa Maua Samma unaitwa  So Crazy. Time ni yako na nafasi ni yako, bofya hapa chini kuutazama huu wimbo mpya kabisa masikioni na Machoni mwako


                     

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE