Mwanamuziki kuitoka nchini Marekani,Jason Derulo anapokutana na mwanamuziki kipenzi cha watu kwa sasa French Montana katika hili Kolabo na kufanya kitu kikubwa sana hiki hapa. Wimbo unaitwa Tip Toe
Nature atangaza nia, kugombea ubunge Temeke
Ikiwa tunaelekea katika uchaguzi mkuu wa kuwapata madiwani, wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kule Zanzibar
Msanii
nguli wa muziki wa Bongo Fleva Juma kasim Ally kiroboto, atangaza…Read More
ZITTO KABWE: "Kurudi CHADEMA hizo ni tetesi tu"
Zitto Kabwe ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, mwanzoni mwa 2014 kulikuwa na story ya mgogoro kati yake na Chama cha CHADEMA.
Magazeti yaliyotoka siku chache zilizopita yaliripoti taarifa ya Mbunge Zitto Kab…Read More
New Audio// Hellow - Linnah ft Christian Bella
Na safari hii mwana muziki Linnah almaarufu ndede mnana anakupa fursa ya kupata wimbo wake mpya kabisa aliomshirikisha Christian Bella mzee wa masauti. pakua hapa
…Read More
Rais Obama ataka mgao sawa
Rais wa Marekani Barak Obama,
amesema Marekani inafanya mabadiliko ya kiuchumi na kijamii baada ya
miaka mingi ya kujirudia kwa mdororo wa uchumi na vita, huku uchumi
ukiongeza ajira kwa kasi kubwa kuliko wakati …Read More
THT Kuhadhimisha miaka kumi tangu kuanzishwa kwake
Kituo cha kuzalisha na kukuza vipaji(THT) kinatarajia kuadhimisha
miaka kumi tangu kuanzishwa kwake, sherehe hizo zinarajiwa kufanyika
Jan.31, Escape One Mikocheni jijini Dar.
THT ilianzishwa mwishoni
mwa mwaka 2005 kw…Read More
Aviator kukupatia PS5 leo
-
Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wamekuletea promosheni kali ya
wewe hapo kuondoka na PS5...
The post Aviator kukupatia PS5 leo first appeared o...
Blog Zinazoanzia na Herufi ya W
-
*1. Wamtaani*
www.wamtaani.com
*2. Wanabidii Blog*
wanabidiiblog.blogspot.com
*3. Watanzania Waishio Nje ya Nchi*
watanzaniaughaibuni.blog...
0 MAONI YAKO:
Post a Comment