Ndg. Kinana amewasimamisha kabisa wagombea wawili, Haider Gulamali na Elia Mlangi kutojihusisha na mchakato huo tena wa kura za maoni na kwa mabadiliko hayo mchakato wa kura za maoni utaanza upya kesho ambapo watu wenye nia ya kugombea watahitajika kuchukua fomu na kujaza kisha kuzirudisha.
Jimbo la Singida Kaskazini limekuwa wazi tangu Mhe. Lazaro Nyalandu ajivue uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu.
Soma zaidi:
0 MAONI YAKO:
Post a Comment